Tuesday, June 29, 2010

Viongozi wa Tawi la CCM Helsinki-Finland Katika PichaViongozi wapya wa Tawi la CCM Helsinki - Finland. Kutoka kushoto ni Mweka hazina wa Tawi, Nd. Stella Neri- Porvali, Makamu Mwenyekiti Nd. William Kirita, Katibu wa Tawi Nd. Che Guevara Mwakanjuki na Mwenyekiti wa Tawi Nd. Mataruma Miraji. Katika picha ya pamoja mara baada ya kuchaguliwa siku ya Alhamisi ya tarehe 24/06/2010

No comments:

Post a Comment